All documents from essays.org are for research assistance purpose only. Do not present the material as your own work!
bookmark & share the essay...
All /
Fasihi
Fasihi ni utumiaji wa lugha,kisanaa kwa madhumuni ya kutubainishia taratibu za maisha yetu kwa njia ya kubuni, katika huu mjadala fasihi imetumika kama kioo kwa jamii na kuwae;limisha watu ili wapate kujua vile kuishi vyema na wengine.sehemu za fasihi ambazo zuimejadiliwa ni pamoja na,Utumiaji wa lugha kisanaa.Utumiaji wa utungo kutokana na taratibu na hali mbalimbali za maisha na Kubuni.
Details
language | | other - swahili |
wordcount | | 743 (cca 2 pages) |
contextual quality | | N/A |
language level | | N/A |
price | | free |
sources | | 3 |
Table of contents
none
Preview of the essay: Fasihi
“Fasihi ni utumiaji wa lugha kisanaa kwa madhumuni ya kutubainishia taratibu za maisha yetu kwa njia ya kubuni” Jadili UTANGULIZI Fasihi ambayo ina maeneo makubwa zaidi ni ile inayozingatia mambo matatu. i) Utumiaji wa ...
... kwa kutumia mfano wa kitu kingine, “mponda mali,” ‘cha usiku’ h) Majazi. Kutumia sehemu ya kitu kama kitu kizima. Mbinu zingine zinazotumiwa katika Kiswahili ni takriri, tabaini, chuku, kijembe, kejeli, kinaya na kadhalika.
Essay is in categories
/
Humanistic Studies
/
Literature
/
/
Art Studies
/
Writing
/
Comments
none